Habari Njema ya Furaha Kuu

Masomo 25 ya Kutafakari Juu ya Krismasi

Yesu anataka nini kwa ajili ya Krismasi?

Tafakari ya furaha na matarajio ya bashasha ndizo alama za majira ya Krismasi. Wakati huu Wakristo kote ulimwenguni husherehekea kuja kwa Mwokozi wao. Katika Habari Njema za Furaha Kuu wasomaji wanakaribishwa kuelekeza mioyo yao kwa Yesu wakati huu wa majira ya Kuja kwa Kristo.

HABARI NJEMA ZA FURAHA KUU hutuletea karibu uvumbuzi mpya wa utukufu wa Krismasi Ni afueni iliyoje kwa watu wenye shughuli nyingi kufikiri kila siku juu ya Yesu Mwokozi wetu—na wapumzike wafurahi na wahuishwe.

Sanduku la Hazina ya Ukweli Kuhusu Yesu!

Hiki kitabu cha tafakuri za wakati wa Kuja kwa Kristo kinalenga kumweka Yesu katikati ya majira yako ya likizo. Haya masomo yamedondolewa kutoka kwa vitabu vya John Piper.

Shiriki Furaha ya Krismasi!

Ekklesia Afrika, 2021